Njoo Tule Mana Lyrics

NJOO TULE MANA

[s] Njoo tule mana- Mana ya Kristu mana
[s] Njoo tule mana,
[t] Aa mana ya Kristu *2

 1. Kila tulapo mwili wake Yesu na kunywa damu yake
  Twatangaza kifo chake mpaka atakaporejea
 2. Mkate kutoka nganoni ya nchi, hugeuzwa mwili wake
  Kwenye ibada ya misa tuule ili tupate wokovu
 3. Divai iliyo ya mizabibu, hugeuzwa damu yake
  Kwenye ibada ya misa tuinywe ili tupate wokovu
 4. Njooni tule mana yake Yesu , iliyotoka Mbinguni
  Ni chakula cha roho, tuile tumeshiba daima
Njoo Tule Mana
CHOIR
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments