Njoo Wangu Mfariji
Njoo Wangu Mfariji | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 20,847 |
Njoo Wangu Mfariji Lyrics
{ Njoo wangu Mfariji, yako shusha mapaji,
Roho Mungu njoo } *2- Hekima nishushie, Mungu nimfuate,
Roho Mungu njoo - Akili nijalie, imani nizidie,
Roho Mungu njoo - Nieneze shauri, nishike njia nzuri,
Roho Mungu njoo - Nizidishie nguvu, n`sifanye ulegevu,
Roho Mungu njoo - Elimu nieleze, hakika niongoze,
Roho Mungu njoo - Ibada niwashie, pekee nikutamani,
Roho Mungu njoo - Uchaji nitilie, dhambi niichukie,
Roho Mungu njoo
Harmonized by J. Makoye