Njooni Kwangu

Njooni Kwangu
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryZaburi
ComposerDeo Mhumbira
Views8,574

Njooni Kwangu Lyrics

  1. Njooni kwangu nyinyi nyote msumbukao
    na kulemewa na mizigo (njooni kwangu) -
    Njooni kwangu (njoni kwangu) nami nitawapumzisha

  2. Jitieni nira yangu mkajifunze kwangu,
    Kwani mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo
  3. Nanyi mtapata raha tele nafsini mwenu
    Kwani nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi
Pia umerekodiwa na kwaya nyinginezo Tanzania