Njooni Niwafundishe

Njooni Niwafundishe
Performed bySt. Joseph Migori
CategoryGeneral
Views7,710

Njooni Niwafundishe Lyrics

 1. {Njooni kwangu (ni) niwafundishe hekima
  Njooni mpate hekima }*2
  {Niwafundishe upendo, niwafundishe kusali
  Na niwafundishe kuimba
  Njoni kwangu enyi wanangu nitawafundisha yote}*2

 2. Ili tuwe na hekima, mpaka tumjue Mungu,
  Kwani mwanzo wa hekima ni kumjua Mungu *2
 3. Tukipata hekima, tumepata busara
  Tumepata na elimu ya kumjua Mungu *2
 4. Bwana Mungu anasema kwamba watu wangu
  Wanaangamia wote kwa kukosa hekima *2
 5. Niwafundishe kuishi maisha ya amani
  Niwafundishe kunena maneno ya hekima