Njooni Nyote
Njooni Nyote |
---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 3,813 |
Njooni Nyote Lyrics
Njooni nyote watu wote
Mkiachwa na hiyo mtapata gani
Chelewa chelewa wahenga walisema
Utakuja kuta mwana si wako
Tena mambo yamepanda ngazi
Shughuli shughuli hapa na pale
Arusi hii imepamba moto
- Sikia uhondo wa ngoma
Ngoma taratibu tutatoa wapi vinanda
Tushangilie sikia sauti shangwe na nderemo
Tupate uhondo wa ngoma nzito nzito
Nzito sana nzito nzito
Mziki wa mbali hurrah!
- Ndege ya arusi sasa imengoa nanga
Sasa imebeba maharusi _____ na _____
Kwa lugha ya kinaganaga
Arusi hii kweli imepamba moto