Njooni Nyote Njooni Nyote
| Njooni Nyote Njooni Nyote | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 5,124 | 
Njooni Nyote Njooni Nyote Lyrics
- [t] Njooni nyote *2 tuingie nyumbani
 [b] Nyumbani Mwa Bwana
 [w]Nyumbani mwa Bwana
 Bwana Mungu wa majeshi
- Tuingie kwa furaha na shangwe
 Tumwabudu Bwana muumba wetu
- Sisi ndio watu wake Bwana
 Tumwimbie Bwana Mumba wetu
- Twakuita kwa vigelegele na vinanda pia baragumu
 Sifu jina lake kuu tuliabudu na kulitukuza
 
  
         
                            