Njooni Nyote Tumshangilie
Njooni Nyote Tumshangilie | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 4,472 |
Njooni Nyote Tumshangilie Lyrics
Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu
Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu- Na kwa maisha yetu - tunakushukuru
Na kwa upendo wako - tunakusalimu - Na kwa umoja wetu - tunakuheshimu
Na kwa imani yetu - tunakutukuza - Na kwa furaha yetu - tunakusifu wee
Na kwa uchungu wetu - tunakuomba wee - Na kwa mazao yetu - tunajitolea
Na hayo yote Baba - tunakutolea