Njooni Wakristu

Njooni Wakristu
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views4,311

Njooni Wakristu Lyrics

  1. Njooni wakristu tumwabudu Mungu- haiyaa
    Njooni wote -
    njooni wakristu tumwabudu Mungu
    Tuingie nyumbani nyumba yake Mungu- haiyaa
    Twende sote -
    tuingie nyumbani nyumba yake Mungu
  2. Ni nyumba yake Mungu si nyumba ya unyang'anyi
  3. Ni nyumba ya sala ya haki na amani
  4. Njooni wakristu tumwimbie Mungu