Njooni Wapenzi (Christmas)
Njooni Wapenzi (Christmas) | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Composer | (traditional) |
Views | 15,503 |
Njooni Wapenzi (Christmas) Lyrics
- Njooni wapenzi tufanye shangwe,
Mwokozi Bwana amezaliwa
Viumbe vyote tufanye shangwe
Mwokozi Bwana amezaliwaNa tufanye shangwe, tuimbe aleluya
Mwokozi Bwana amezaliwa. - Malaika alitutangazia -
Twende pamoja na wachunga - - Yeye ni kweli Mwana wa Mungu -
Mapendo yake hayana mwisho - - Hii ni siku ya furaha kuu -
Mungu mwenyewe atushukia - - Tufanye shangwe kwa nyimbo -
Tumsifu Bwana na kumshukuru - - Sisi kwa sisi tupendane -
Tulifuate pendo la Yesu -