Njooni Tumshukuru Mungu
Njooni Tumshukuru Mungu | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Zimmerman |
Album | Nitasimulia Matendo (Vol 6) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,540 |
Njooni Tumshukuru Mungu Lyrics
{ Njooni njooni wote tumshukuru Mungu
Kwa mema mema mengi alotujalia } *2
{Ni mengi - ni mema mengi, haya-hesabiki kamwe
Tumepewa sote kwa ma-penzi yake yeye
Tumlipe nini Bwana ili naye apendezwe nasi
Kwa mema mema mengi alotujalia} *2- Ametuumba akili ya kutambua mema na mabaya
Ametujaza neema tumtambue,
Tuishi naye daima milele - Wengine katujalia uwezo na mali tumtumikie
Na wengine vipaji mbalimbali,
Ili tutambue uwezo wake.