Nyumba Yangu
Nyumba Yangu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 4,465 |
Nyumba Yangu Lyrics
Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,
Aleluya, Nyumba ya sala- Ewe Yerusalemu, umsifu mwenyezi Mungu
Umsifu Mungu wako ewe Zayuni - Anawaponnya waliovunjika moyo
Anawatibu majeraha yao - Yeye hupendezwa na watu wamchao
Watu wanaotegemea fadhili zake - Ameimarisha milango yako
Amewabariki watu waliomo kwako - Ameweka amani mipakani mwako
- Humjulisha Yakobo ujumbe wake
Na Israeli maongozi na maagizo yake.