Nyumbani mwa Baba
Nyumbani mwa Baba | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Views | 6,328 |
Nyumbani mwa Baba Lyrics
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi
Kama sivyo ningaliwambia *2 ningaliwaambia.- Nyumbani mwa Baba yangu kuna makao mengi
Kama sivyo ningaliwaambia ningaliwaambia - Sasa mimi nitaenda kuwaandalia mahali
Nitakuja tena ili niwachukue - Kama makao hakuna ningaliwaambia
Ningaliwaambia ningaliwaambia - Kaeni mkingoja kurudi kwangu mimi
Nitakuja kuwapeleka kwa Baba Mbinguni