Nyumbani mwa Baba

Nyumbani mwa Baba
Choir-
CategoryMafundisho ya Yesu
SourceTanzania
ReferenceJn. 14

Nyumbani mwa Baba Lyrics


Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi
Kama sivyo ningaliwambia *2 ningaliwaambia.1. Nyumbani mwa Baba yangu kuna makao mengi
Kama sivyo ningaliwaambia ningaliwaambia

2. Sasa mimi nitaenda kuwaandalia mahali
Nitakuja tena ili niwachukue

3. Kama makao hakuna ningaliwaambia
Ningaliwaambia ningaliwaambia

4. Kaeni mkingoja kurudi kwangu mimi
Nitakuja kuwapeleka kwa Baba Mbinguni

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442