Onjeni Muone
| Onjeni Muone | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 8,181 |
Onjeni Muone Lyrics
Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema *2
{ Oo onjeni oo onjeni, onjeni muone ya kuwa Bwana
Bwana yu mwema } *2- Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi - Mtukuze Bwana mtukuze pamoja nami,
Tuliadhimishe jina lake pamoja
Masikini aliita Bwana akasikia,
Akamuokoa na tabu zake zote