Onjeni Muone

Onjeni Muone
ChoirSt. Anthoney Malindi
AlbumMalindi Kuna Nini
CategoryZaburi
ComposerAlfred Ossonga
ReferencePs. 34

Onjeni Muone Lyrics

(Onjeni muone kwamba -
Onjeni muone yu mwema *2)
Onjeni Mungu Baba (kweli)
Onjeni muone yu mwema
Onjeni Yesu Kristu (kweli)
Onjeni muone yu mwema1. Jiungeni enyi viumbe Mbinguni na duniani
Tuliadhimishe jina lake Mungu Baba kwa pamoja
Kwa kinanda na filimbi, kwa sauti ya baragumu
Kwa vinubi na zeze na ngoma na nyimbo

2. Mtukuzeni Bwana Mungu kweli pamoja nami
Tumshangilie kwa furaha katika hekalu lake
Tafuteni Bwana Mungu naye Bwana atawajibu
Atawaponya wote na dhaabu zenu

3. Nitamhimidi Bwana Mungu wangu siku zote
Sifa zake zote zi kinywani mwangu daima
Kwa Bwana Mungu wangu, nafsi yangu itajisifu
Wenye haki wasikie wakafurahi

4. Elekezeni macho juu, nanyi mtatiwa nuru
Wala nyuso zenu siku zote kamwe zisione haya
Onjeni Mungu Baba onjeni na Yesu Kristu
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442