Pambeni Neno

Pambeni Neno
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views2,903

Pambeni Neno Lyrics

  1. Bwana Yesu atualika kusikiliza
    Neno lake lenye upendo pambeni neno

    Pambeni neno la uzima pambeni neno
    Pambeni neno la uzima pambeni neno

  2. Bwana Yesu atualika kusikiliza
    Neno lake lenye hekima pambeni neno
  3. Bwana Yesu atualika kusikiliza
    Neno lake lenye uzima pambeni Neno