Panda Milimani

Panda Milimani
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views9,252

Panda Milimani Lyrics

  1. Panda milimani, panda milimani
    Shuka mabondeni, shuka mabondeni
    Shika hili neno, neno la Bwana

  2. Nguvu ninakupa, kulihubiri, hili neno langu
    Shika hili neno, neno la Bwana
  3. Neno kwa wamama, neno kwa wababa, neno kwa watoto,
    Shika hili neno, neno la Bwana
  4. Neno kwa vijana, neno kwa wazee, neno kwa wakristu
    Shika hili neno, neno la Bwana
  5. Neno kwa Wakamba, neno kwa waluhya, neno kwa Waluo
    Shika hili neno, neno la Bwana
  6. Neno kwa vipofu, neno kwa viwete, neno kwa viziwi
    Shika hili neno, neno la Bwana