Piga Vigelegele
Piga Vigelegele | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | Fr. Aloyce Msigwa |
Views | 6,524 |
Piga Vigelegele Lyrics
{ Piga vigelegele piga ngoma na makofi
Vigelegele ni siku ya shangwe (piga ngoma) } *2- { Matendo yake Bwana ni makuu o Mwenyezi
Mwenyezi kajalia neema zake } *2 - Ametupa yeye siku hii o Mwenyezi . . .
Ametupa yeye majaliwa o Mwenyezi . . . - Mfadhili wetu siku zote o Mwenyezi. . .
Na rehema zake siku zote o Mwenyezi . . .