Pingu za Maisha
Pingu za Maisha |
---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 7,766 |
Pingu za Maisha Lyrics
- Pingu za maisha leo mmeshazifunga *2
Sasa ilobaki harusi yenu kuitunza *2
Muitunze harusi yenu - isije chafuka
Harusi yenu - isije chafuka
Muitunze na pete yenu - isije chafuka
Na pete yenu - isije chafuka
Muwatunze watoto wenu - wasije chafuka
Watoto wenu - wasije chafuka
Sasa ilobaki, harusi yenu kuitunza *2
- Pete ni alama sote tumeshuhudia *2
Sasa ilobaki harusi yenu kuitunza *2
- Ukifika huko dada kaa ukijua *2
Kaa ukijua dunia ina maneno *2