Pokea Moyo Wangu
Pokea Moyo Wangu | |
---|---|
Alt Title | Yesu Wangu Mpenzi |
Performed by | Moyo Mtakatifu wa Yesu UDOM |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Fr. L. Malema |
Views | 60,967 |
Pokea Moyo Wangu Lyrics
Pokea moyo wangu ee Mungu wangu
Niweze kukupenda kwa pendo lako
Unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozi wangu
Shinda kwangu, nami daima kwako- Onjeni muone kwamba Bwana yu mwema
Na heri yule mtu anayetumaini Yesu Kristu - Katika nguvu za giza katutoa
Na kutukaribisha katika ufalme wa upendo - Habari njema alituhubiria na kutufungulia
Akatangaza mwaka wa neema - Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu,
Sikosi kitu kamwe kuniongoza kwenye njia nyofu