Pokeeni kwa Bwana

Pokeeni kwa Bwana
Performed by-
CategoryHarusi
Views2,949

Pokeeni kwa Bwana Lyrics

  1. Pokeeni kwa Bwana wingi wa baraka
    Kwa ndoa yenu takatifu

  2. Wanaume inawapasa kuwaheshimu wake zao
  3. Wanaume wawaonyeshe wake zao pendo la Kristu
  4. Nao wake wawafuate waume zao kama Kristu
  5. Kila mtu ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe
  6. Wanaume watawaacha baba zao na mama zao
  7. Ataungana na mkewe na watakuwa mwili mmoja
  8. Hili ni fumbo la upendo kati ya Kristu na kanisa