Roho Ndiyo Itiayo Uzima
| Roho Ndiyo Itiayo Uzima | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Habari Tuliyoleta (Vol 6) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 4,769 |
Roho Ndiyo Itiayo Uzima Lyrics
{ Roho ndiyo hiyo itiayo uzima
(Mwili) Mwili haufai kitu haufai kitu
Maneno hayo niliyowaambia ni roho,
Tena ni uzima } *2- Sheria ya Bwana ni kamilifu,
Huiburidisha nafsi yangu
Maagizo yake ni ya adili huufurahisha moyo wangu - Kicho chake Bwana ni kitakatifu,
Kinadumu milele na milele
Hukumu za Bwana nazo ni kweli,
Zina haki kabisa kabisa - Tena mtumishi wako huonywa,
Katika kuzishika dhawabu
Kuzishika zake zake dhawabu,
Daima na milele milele