Roho Zetu Zatamani
   
    
     
         
          
            Roho Zetu Zatamani Lyrics
 
             
            
- Bwana roho zetu zatamani - hayo maji yenye uzima
 Bwana roho zetu zina kiu tupe maji hayo ya uzima
 Ee Bwana tuna kiu tunyweshe
 Tuna kiu ee Bwana tupe maji hayo ya uzima *2
- Wewe ndiwe taa ya maisha wewe ndiwe mweza wetu
 Wewe ndiwe mwanga wetu sote utatuongoza daima
 Ee Bwana tunkuja daima tuko nawe
 Ee Bwana utatuongoza daima
- Wewe ndiwe nguvu yetu sote wewe ndiwe mweza vyote
 Tupigwapo kumbo na shetani wewe ndiwe tulizo letu
 Ee Bwana tuongoze daima maishani
 Ee Bwana tupe nuru yako njiani *2