Salamu Mama Mwema
Salamu Mama Mwema | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
Category | Bikira Maria |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 5,524 |
Salamu Mama Mwema Lyrics
Salamu, mama mwema ewe Maria, mama
Sisi wanao leo twakusalimu (ee Mama) *2
[b] Salamu salamu salamu salamu mama yetu
ee mama Maria Mwombezi mama utuombee
[s:] Salamu ee mama yetu salamu mama yetu
mama ee Maria mwombezi mama utuombee
salamu salamu salamu mama yetu
mama ewe Maria Mwombezi utuombee
[t:] Salamu salamu salamu salamu mama
mama ee Maria Mwombezi mama utuombee- Sisi wana wako twakujia tuombee ee Maria
- Twakujia tukiomba msaada wako ewe mama yetu
- Bikira Maria waombee mayatima mama yetu.