Salamu Salamu Maria
Salamu Salamu Maria | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Bikira Maria |
Views | 14,116 |
Salamu Salamu Maria Lyrics
[s] Salamu Salamu Maria -
[w] Mama yetu wa fatima
[s] Sisi wana wako - [w] Tunakusalimu *2- Uliwambia Francis - Lucia na Jacinta
Tusali rosari - ili tuokoke - Umejaa neema - kuliko wake wote
Naye Yesu mwanao - amebarikiwa - Utuangalie sisi - duniani tulimo
Shida nyingi zatusonga - tuokoe mama - Utuombee Maria - kwa mwanao Yesu
Ombi letu lifikishe - Mbinguni ulipo