Salamu Salamu Maria

Salamu Salamu Maria
ChoirOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumUninyunyizie Maji (vol. 2)
CategoryBikira Maria

Salamu Salamu Maria Lyrics

[s] Salamu Salamu Maria -
[w] Mama yetu wa fatima
[s] Sisi wana wako - [w] Tunakusalimu *21. Uliwambia Francis - Lucia na Jacinta
Tusali rosari - ili tuokoke

2. Umejaa neema - kuliko wake wote
Naye Yesu mwanao - amebarikiwa

3. Utuangalie sisi - duniani tulimo
Shida nyingi zatusonga - tuokoe mama

4. Utuombee Maria - kwa mwanao Yesu
Ombi letu lifikishe - Mbinguni ulipo

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442