Sauti Kubwa
Sauti Kubwa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Views | 3,354 |
Sauti Kubwa Lyrics
- Sauti kubwa, yatoka mbinguni
yawaitaita nyote njooni kwangu
Nawangojea, tena namtuma
mjumbe wangu aje kuwachukua[s] Aje aje aje ee ee aje kuwachukua
[w] Mjumbe wangu *2, aje kuwachukua - Nawangojea, tena namtuma
kama kondoo katika mbwa mwitu - Habari hizi, ndugu twazisoma
Mathayo kumi mstari kumi na sita