Sauti Kubwa

Sauti Kubwa
Choir-
CategoryMafundisho ya Yesu
ReferenceMt. 10

Sauti Kubwa Lyrics

1. Sauti kubwa, yatoka mbinguni
yawaitaita nyote njooni kwangu
Nawangojea, tena namtuma
mjumbe wangu aje kuwachukua


[s] Aje aje aje ee ee aje kuwachukua
[w] Mjumbe wangu *2, aje kuwachukua2. Nawangojea, tena namtuma
kama kondoo katika mbwa mwitu

3. Habari hizi, ndugu twazisoma
Mathayo kumi mstari kumi na sita

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442