Sauti Njema

Sauti Njema
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CategoryGeneral
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,897

Sauti Njema Lyrics

 1. (Sauti njema za malaika zaimba zasifu jina lako Yesu
  Nakaza mwendo ili mimi nami
  nivikwe taji hilo la utakatifu )*2
  (Na sasa nasema – (natembea*3),
  Natembea na Bwana Yesu, shetani lo! sikutaki )*2

 2. Nawaza moyo wangu ni mpweke,
  Najua wewe Bwana ni kimbilio
  Tazama nanyoosha mkono natembea na wewe
 3. Magonjwa na hatari za dunia
  Zinakabili sana siku za leo . . .
 4. Maelewano ya jamii zetu
  Sasa kitendawili kigumu sana . . .