Sauti Tamu Tamu
| Sauti Tamu Tamu | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Habari Tuliyoleta (Vol 6) |
| Category | Utume wa Uimbaji |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 9,811 |
Sauti Tamu Tamu Lyrics
- Nasikia sauti tamu tamu - kabisa kabisa
Midundo mizuri ya kupendeza - kabisa kabisaNi vijana, ni vijana ni vijana twahubiri kwa nyimbo *2
Iyelele - iyelele, iyelele - iyelele *2 (jama)
Twasoma masomo magumu kuliko mawe
Pia tunaimba kuihubiri injili
Tuunge mkono kuhubiri kwa kuimba
Tubarikiwapo wewe usiachwe nyuma
Karibu ndugu karibu (wote) karibu tena karibu - Ni talanta tumepewa na Mungu -
Tutumie watu waokolewe - - Nyimbo zetu zakuza maadili -
Umoja pia ushirikiano - - Wenzetu wanapoyatupa mawe -
Sisi tunawarudishia nyimbo -