Sauti ya Yohana
Sauti ya Yohana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 10,158 |
Sauti ya Yohana Lyrics
- Sauti ya Yohana yasikika nyikani
Tengenezeni njia Bwana apiteApite (Bwana apite) *2
Tengenezeni njia Bwana apite - Malaika kahubiri, kahubiria Mariamu -
Tengenezeni njia Bwana apite - Na wewe kijana rekebisha mwenendo -
Tengenezeni njia Bwana apite - Acheni fitina chuki na hasira -
Tengenezeni njia Bwana apite - Bwana alituachia hili neno takatifu,
Tulitangaze kote ulimwenguni