Sauti Yake Bwana

Sauti Yake Bwana
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views8,075

Sauti Yake Bwana Lyrics

  1. Sauti yake Bwana yatuita twende kwake *2

    { Nitume ewe Bwana popote utakapo
    Mimi niko tayari (Bwana) kutangaza injili } *2

  2. Wengine hawataki kutaja jina lako *2
  3. Ni wewe tunaomba usiku na mchana
  4. Ni wewe mlinzi wangu popote unilinde
  5. Maovu yetu sisi ee Baba tusamehe