Shamba la Mizabibu
| Shamba la Mizabibu | |
|---|---|
| Performed by | St. Benedict Rapogi |
| Album | Huyu Ni Yesu (Vol 1) |
| Category | Zaburi |
| Views | 12,063 |
Shamba la Mizabibu Lyrics
Shamba la mizabibu (mizabibu)
Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba
(Ya Israeli) ndilo nyumba ya Israeli *2- Ulileta mzabibu, mzabibu kutoka Misri
Ukafukuza mataifa ukaupanda - Uliyaeneza matawi, matawi yake baharini
Vichipukizi vyake hata kunapo mto - Kwa nini umezibomoa, umebomoa kuta zake
Nguwe msituni wanauharibu - Wauchuma wapitao, wale wapitao njiani
Hayawani wa porini wanautafuna