Shamba la Mizabibu

Shamba la Mizabibu
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryZaburi
ReferencePs. 80

Shamba la Mizabibu Lyrics


Shamba la mizabibu (mizabibu)
Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba
(Ya Israeli) ndilo nyumba ya Israeli *21. Ulileta mzabibu, mzabibu kutoka Misri
Ukafukuza mataifa ukaupanda

2. Uliyaeneza matawi, matawi yake baharini
Vichipukizi vyake hata kunapo mto

3. Kwa nini umezibomoa, umebomoa kuta zake
Nguwe msituni wanauharibu

4. Wauchuma wapitao, wale wapitao njiani
Hayawani wa porini wanautafuna

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442