Shamba la Mzabibu
Shamba la Mzabibu | |
---|---|
Performed by | St. Dominic Kasarani Mwiki |
Category | Zaburi |
Views | 6,625 |
Shamba la Mzabibu Lyrics
Shamba la mizabibu *2 la Bwana
Ndilo nyumba ya Israeli *2- Ulileta mzabibu, (mzabibu kutoka Misri)*2
Ukafukuza mataifa *2, ukaupanda - Kwa nini umezibomoa, (umebomoa kuta zake)*2
Na hayawani wa kondeni wautafuna - Ee Mungu wa majeshi, twakusihi urudi Baba
Ujilie mzabibu huu, na mche uliopanda
kwa mkono wako