Sheria Ya Bwana
| Sheria Ya Bwana | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
| Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
| Category | Zaburi |
| Composer | Deo Mhumbira |
| Views | 6,508 |
Sheria Ya Bwana Lyrics
{ Sheria ya Bwana, sheria ya Bwana ni kamilifu aee
Ni kamilifu aee huburudisha nafsi } *2- Ushuhuda wa Bwana ushuhuda wa Bwana
Ni amini ni amini humtia mjinga hekima - Maagizo ya Bwana maagizo ya Bwana.
Ni ya adili, ni ya adili huufurahisha moyo wangu - Na amri yake Bwana amri yake Bwana,
Ni safi sana, ni safi sana huyatia nuru macho yangu - Hukumu zake Bwana hukumu zake Bwana
Ni za kweli, ni za kweli nazo zina haki kabisa