Sheria yako Bwana
| Sheria yako Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,631 |
Sheria yako Bwana Lyrics
Sheria yako Bwana *2 ninaipenda mno*2
Ninaipenda ninaipenda , ninaipenda mno ajabu.- Bwana ndiye aliye jungu langu
Nimesema kwamba nitatii maneno yako - Nakuomba fadhili zikae nanyi
Sawasawa na ahadi yako kwangu