Sheria yako Bwana Lyrics

SHERIA YAKO BWANA

Sheria yako Bwana *2 ninaipenda mno*2
Ninaipenda ninaipenda , ninaipenda mno ajabu.

  1. Bwana ndiye aliye jungu langu
    Nimesema kwamba nitatii maneno yako
  2. Nakuomba fadhili zikae nanyi
    Sawasawa na ahadi yako kwangu
Sheria yako Bwana
CHOIR
CATEGORYZaburi
REFPs. 119
  • Comments