Shukrani Zetu
| Shukrani Zetu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 23,401 |
Shukrani Zetu Lyrics
Shukrani zetu Baba, Muumba mbingu na nchi, pokea
Shukrani zetu Baba pokea
[ Ee Baba] Aee Pokea, Shukrani zetu Baba pokea- Mavuno tumepata tena kwa wingi sana, asante...
- Umetulisha mwili na pia damu yako, asante...
- Baraka tumepata tena kwa wingi sana, asante...
- Umetulinda wiki nzima twakushukuru, asante...
- Neno tumepokea kutujenga kiroho, asante...
- Tumepata neema kwa Misa Takatifu, asante…