Login | Register

Sauti za Kuimba

Shukrani Zetu Lyrics

SHUKRANI ZETU

Shukrani zetu Baba, Muumba mbingu na nchi, pokea
Shukrani zetu Baba pokea
[ Ee Baba] Aee Pokea, Shukrani zetu Baba pokea

  1. Mavuno tumepata tena kwa wingi sana, asante...
  2. Umetulisha mwili na pia damu yako, asante...
  3. Baraka tumepata tena kwa wingi sana, asante...
  4. Umetulinda wiki nzima twakushukuru, asante...
  5. Neno tumepokea kutujenga kiroho, asante...
  6. Tumepata neema kwa Misa Takatifu, asante…
Shukrani Zetu
CHOIR
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments