Siku Hii Ndiyo
| Siku Hii Ndiyo | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Views | 4,789 |
Siku Hii Ndiyo Lyrics
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana
Tutaishangilie na kuifurahia- Israeli nasema sasa,
Fadhili zake ni za milele - Mkono wake wa kuume,
Wa Bwana hutenda makuu - Sitakufa bali nitaishi nami,
Nitasimulia matendo ya Bwana - Jiwe walilolikataa waashi,
Limekuwa jiwe kuu la pembeni - Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni la ajabu machoni petu