Siku ya Kuja
Siku ya Kuja | |
---|---|
Performed by | - |
Category | General |
Views | 4,227 |
Siku ya Kuja Lyrics
- Siku yakuja kuuona mji wa Baba
Wateule watafurahi waliookoka
Siku ya kuja kuuona mji wa Baba,
Tutaimba aleluya *2{Tutavikwa mavazi meupe yapendezayo sana} * 2
{Wale waliookoka watavikwa kwa taji ya Bwana }
{Sote tutaimba Mbinguni kwa furaha kubwa} * 2
Alleluia Mungu wetu kwa upendo wako *2 - Tujitenge na mambo ya duniani
Uongo, ulevi wizi visipatikane
Ndipo tutakuwa washindi wake Bwana
Tutaimba aleluya *2