Siku za Mwisho
Siku za Mwisho | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,756 |
Siku za Mwisho Lyrics
Katika siku zile za mwisho asema Bwana (asema)
Nitawamiminia, wote roho wangu roho wangu *2
[s] Watoto wenu, watoto wenu,
watoto wenu, waume kwao wake
[a] Watoto wenu, waume kwao wake,
watoto wenu, waume kwao wake
[t] Waume kwa wake
[b] Watoto wenu, waume kwao wake
waume kwa wake
[w] Watautangaza ujumbe wangu- Vijana wenu wataona maono
na wazee wenu wataota ndoto - Nitawamiminia roho wangu
wazee wa wale wanastahili - Naye yeyote atakayeomba
kwa jina la Baba ataokolewa
( St. Pauls UON Students ChoirJ. C. Shomally)