Siku Zake Yeye Mwenye Haki Lyrics

SIKU ZAKE YEYE MWENYE HAKI

@ J. C. Shomaly

{ Siku zake yeye mtu mwenye haki, atastawi atastawi } *2
{ Na wingi, wingi wa amani, hata mwezi utakapokoma,
Hata mwezi utakakapokoma, utakapokoma } *2

 1. Ee Mungu mpe mfalme, mpe mfalme hukumu zako
  Na mwana wa mfalme, umpe haki yako
  Atawaamua watu, watu wako kwa haki
  Na watu wako walioonewa kwa hukumu
 2. Kwa maana atamuokoa, atamuokoa mhitaji
  Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi
  Atamhurumia aliye dhaifu, dhaifu na maskini
  Na nafsi za wahitaji ataziokoa
Siku Zake Yeye Mwenye Haki
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMTazameni Miujiza (Vol 2)
CATEGORYZaburi
REFPs. 72
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
 • Comments