Silaha ya Mapambano
| Silaha ya Mapambano | |
|---|---|
| Performed by | St. Kizito Makuburi | 
| Album | Mungu Yule | 
| Category | Injili na Miito (Gospel) | 
| Composer | Fr. Aloyce Msigwa | 
| Views | 28,865 | 
Silaha ya Mapambano Lyrics
- { [ b ] Neno lake Bwana Mungu ee
 [ w ] Silaha ya mapambano ee ee ee mapambano
 Silaha ya mapambano dhidi ya Ibilisi
 Hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu } *2Yesu ameshinda, Yesu ameshinda, mtawala
 Yesu ameshinda, Yesu ameshinda, mtawala
- Neno lake Bwana Mungu ee
 Linashinda mapambano ee ee ee . . .
- Neno lake Bwana Mungu ee
 Linashinda mbinu zake ee ee ee . . .
- Neno lake Bwana Mungu ee
 Linapenya mbinu zake ee ee ee . . .
 
  
         
                            