Silaha ya Mapambano

Silaha ya Mapambano
ChoirSt. Kizito Makuburi
AlbumMungu Yule
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerFr. Aloyce Msigwa
Musical Notes
Timesignature12 16
MusickeyC Major

Silaha ya Mapambano Lyrics

1.{ [ b ] Neno lake Bwana Mungu ee
[ w ] Silaha ya mapambano ee ee ee mapambano
Silaha ya mapambano dhidi ya Ibilisi
Hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu } *2


Yesu ameshinda, Yesu ameshinda, mtawala
Yesu ameshinda, Yesu ameshinda, mtawala2. Neno lake Bwana Mungu ee
Linashinda mapambano ee ee ee . . .

3. Neno lake Bwana Mungu ee
Linashinda mbinu zake ee ee ee . . .

4. Neno lake Bwana Mungu ee
Linapenya mbinu zake ee ee ee . . .

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442