Simameni Watu Wote

Simameni Watu Wote
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNimeteuliwa
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerAlfred Ossonga

Simameni Watu Wote Lyrics


Simameni watu wote leo katika nyumba ya Bwana (wote)
Furahini mbele zake Bwana imbeni nyimbo za shangwe
(shangilieni) { Vigelegele, pigeni makofi hekaluni mwake
Mwimbieni Bwana wimbo mpya 1 ( watu wote ) } *2


1. Akina mama wote (hoye hoye), akina baba wote (hoye)
Njooni wote mbele za Bwana, mkiimba nyimbo za shangwe
Njooni wote mbele za Bwana, njooni leo mbarikiwe

2. Enyi vijana wote (hoye hoye), enyi wazee wote (hoye)
Njooni wote mbele za Bwana, mkiimba nyimbo za shangwe
Njooni wote mbele za Bwana, njooni leo mbarikiwe

3. Ni siku ya furaha (leo leo), ni siku ya injili (leo leo)
Tumshukuru muumba wetu, tumsifu Mwenyezi Mungu
Tumshukuru muumba wetu, tumsifu Mwenyezi Mungu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442