Tazama Mimi
| Tazama Mimi | |
|---|---|
![]() | |
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | F. Kashumba |
| Video | Watch on YouTube |
| Views | 11,136 |
Tazama Mimi Lyrics
{ Tazama mimi - nipo pamoja nanyi
Nipo pamoja - nanyi siku zote (siku zote) } *2
Siku zote mpaka ukamilifu wa dahari *2- Enyi watu wote pigeni, pigeni makofi
Pigieni Mungu kelele kelele za shangwe - Kwani Bwana aliye juu, mwenye kuogofya
Yeye ni mfalme mkuu wa dunia yote - Enyi watu wote imbeni, imbeni zaburi
Maana Mungu anamiliki mataifa yote - Mwimbieni Mungu imbeni, pigeni zumari
Mpigieni pia na zeze na vinanda vyenu
Unaweza imbwa katika sikukuu ya Kupaa kwa Bwana
