Tazameni Karamu

Tazameni Karamu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views12,519

Tazameni Karamu Lyrics

  1. Tazameni karamu ya Bwana iko mezani
    Bwana Yesu ametualika tule karamu hiyo ya uzima
    Ewe mkristu simama, jongea Bwana Yesu
    Ametualika kwenye karamu hiyo ya uzima

  2. Usisite ndugu, nenda mbele kampokee
    Huyo ndiye Yesu Mzima
  3. Atungojea mbele twende tukampokee
    Yesu anatibu ndiye daktari wetu