Tazameni Karamu Lyrics

TAZAMENI KARAMU

Tazameni karamu ya Bwana iko mezani
Bwana Yesu ametualika tule karamu hiyo ya uzima
Ewe mkristu simama, jongea Bwana Yesu
Ametualika kwenye karamu hiyo ya uzima

  1. Usisite ndugu, nenda mbele kampokee
    Huyo ndiye Yesu Mzima
  2. Atungojea mbele twende tukampokee
    Yesu anatibu ndiye daktari wetu
Tazameni Karamu
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
  • Comments